Kumbukumbu 8:5
Mjue basi ndani ya mioyo yenu kama mtu anavyomwadibisha mwanawe, ndivyo Bwana Mungu wako atawaadibisha ninyi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
4Nguo zenu hazikuchakaa wala miguu yenu haikuvimba kwa miaka hii arobaini.
6Shikeni maagizo ya Bwana Mungu wenu mtembee katika njia zake na kumheshimu.
Cross References
Deuteronomy 1:31na pia huko jangwani. Huko mliona jinsi Bwana Mungu wenu alivyowachukua, kama baba amchukuavyo mwanawe, katika njia yote mliyoiendea mpaka mkafika mahali hapa.”
Deuteronomy 4:23Jihadharini msilisahau Agano la Bwana Mungu wenu lile alilofanya nanyi; msijitengenezee sanamu katika umbo la kitu chochote ambacho Bwana Mungu wenu amewakataza.
Job 5:17“Heri mtu yule ambaye Mungu humrudi; 2 kwa hiyo usidharau adhabu yake Mwenyezi. + 5:17 Mwenyezi hapa ni jina la Kiebrania Shaddai (hapa na kila mahali katika kitabu hiki cha Ayubu). 1
Psalms 94:12Ee Bwana, heri mtu anayeadhibishwa na wewe, 2 mtu unayemfundisha kwa sheria yako, 1
Proverbs 3:12kwa sababu Bwana huwaadibisha wale awapendao, 2 kama vile baba afanyavyo 2 kwa mwana apendezwaye naye. 1
Ezekiel 12:3“Kwa hiyo, mwanadamu, funga mizigo yako kwa kwenda uhamishoni tena wakati wa mchana, wakiwa wanakutazama, toka nje na uende mahali pengine kutoka hapo ulipo. Labda wataelewa, ingawa wao ni nyumba ya kuasi.