Mhubiri 10:12
Maneno yatokayo kinywani mwa mtu mwenye hekima 2 yana neema, 2 bali mpumbavu huangamizwa 2 na midomo yake mwenyewe. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The words of a wise man’s mouth are gracious; but the lips of a fool will swallow up himself.
In Context
11Kama nyoka akiuma kabla ya kufanyiwa uaguzi, 2 mwaguzi hatahitajika tena. 1
13Mwanzoni maneno yake ni upumbavu, 2 mwishoni ni wazimu mbaya, 2
Cross References
2 Samuel 1:16Kwa maana Daudi alikuwa amemwambia, “Damu yako iwe juu ya kichwa chako mwenyewe. Kinywa chako mwenyewe kimeshuhudia dhidi yako uliposema, ‘Nilimuua mpakwa mafuta wa Bwana.’ ” 1 Ombolezo La Daudi Kwa Ajili Ya Sauli Na Yonathani
Job 4:3Fikiri jinsi ambavyo umewafundisha watu wengi, 2 jinsi ambavyo umeitia nguvu 2 mikono iliyokuwa dhaifu. 1
Psalms 37:30Kinywa cha mwenye haki hutamka hekima, 2 nao ulimi wake huzungumza lililo haki. 1
Psalms 64:8Atageuza ndimi zao wenyewe dhidi yao 2 na kuwaleta kwenye maangamizi; 1 wote wawaonao watatikisa vichwa vyao 2 kwa dharau. 1
Psalms 140:9Vichwa vya wanaonizunguka vifunikwe 2 na shida zinazosababishwa na midomo yao. 1
Proverbs 10:10Yeye akonyezaye kwa nia mbaya husababisha huzuni, 2 naye mpumbavu apayukaye huangamia. 1