Ecclesiastes 10:13
Mwanzoni maneno yake ni upumbavu, 2 mwishoni ni wazimu mbaya, 2
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Judges 14:15Siku ya saba, wakamwambia mkewe Samsoni, “Mbembeleze mumeo ili atueleze hicho kitendawili, la sivyo tutakuchoma moto wewe na wa nyumba ya baba yako. Je, mmetualika ili mpate kutunyangʼanya kile tulicho nacho?”
1 Samuel 22:7Sauli akawaambia, “Sikilizeni enyi watu wa Benyamini! Je, mwana wa Yese atawapa ninyi nyote mashamba na mashamba ya mizabibu? Je, atawafanya ninyi nyote majemadari wa maelfu na majemadari wa mamia?
1 Samuel 25:10Nabali akawajibu watumishi wa Daudi, “Huyu Daudi ni nani? Huyu mwana wa Yese ni nani? Watumishi wengi wanakimbia kutoka kwa bwana zao siku hizi.
2 Kings 6:27Mfalme akajibu, “Ikiwa Bwana hakusaidii, nitakutolea wapi msaada? Je, ni kutoka kwenye sakafu ya kupuria? Au kwenye shinikizo la divai?”
Proverbs 13:16Kila mwenye busara hutenda kwa maarifa, 2 bali mpumbavu hudhihirisha upumbavu wake. 1
Ecclesiastes 5:2Usiwe mwepesi kuzungumza, 2 usiwe na haraka katika moyo wako 2 kuzungumza lolote mbele za Mungu. 1 Mungu yuko mbinguni 2 nawe uko duniani, 1 kwa hiyo maneno yako 2 na yawe machache. 1