The Bible Software
bible.software › Mhubiri › Mhubiri 10 › Mhubiri 10:20

Mhubiri 10:20

Usimshutumu mfalme hata ikiwa ni katika mawazo yako, 2 au kumlaani tajiri katika chumba chako cha kulala, 1 kwa sababu ndege wa angani wanaweza kuchukua maneno yako, 2 naye ndege anayeruka anaweza kutoa taarifa ya yale uliyosema.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Curse not the king, no not in thy thought; and curse not the rich in thy bedchamber: for a bird of the air shall carry the voice, and that which hath wings shall tell the matter.

In Context

19Karamu hufanywa kwa ajili ya kicheko, 2 nao mvinyo hufurahisha maisha, 2 lakini fedha ni jawabu la mambo yote. 1

Read all of Mhubiri 10

Cross References

Exodus 22:27kwa kuwa vazi lake ndilo pekee alilo nalo la kumfunika mwili wake. Ni nini kingine atajifunika nacho? Atakaponililia, nitasikia, kwa kuwa nina huruma.

2 Kings 6:12Mmoja wa maafisa wake akasema, “Mfalme bwana wangu, hakuna hata mmoja wetu. Lakini Elisha, yule nabii aliye Israeli, humwambia mfalme wa Israeli hata yale maneno unayozungumza katika chumba chako cha kulala.”

Ecclesiastes 7:21Usitie maanani kila neno linalosemwa na watu, 2 la sivyo, waweza kumsikia 2 mtumishi wako akikulaani: 1

Luke 10:40Lakini Martha alikuwa akihangaika na maandalizi yote yaliyokuwa yafanyike. Martha akaja kwa Yesu na kumuuliza, “Bwana, hujali kwamba ndugu yangu ameniachia kazi zote mwenyewe? Basi mwambie anisaidie.”

Luke 19:40Yesu akawajibu, “Nawaambia ninyi, kama hawa wakinyamaza, mawe yatapiga kelele.” 1 Yesu Anaulilia Mji Wa Yerusalemu

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Mhubiri 10:20

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Mhubiri 10:19Mhubiri 10