Luke 19:40
Yesu akawajibu, “Nawaambia ninyi, kama hawa wakinyamaza, mawe yatapiga kelele.” 1 Yesu Anaulilia Mji Wa Yerusalemu
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
41Alipokaribia Yerusalemu na kuuona mji, aliulilia,
Cross References
Psalms 96:11Mbingu na zishangilie, nchi na ifurahi; 2 bahari na ivume, na vyote vilivyomo ndani yake; 1
Psalms 114:1Wakati Israeli walipotoka Misri, 2 nyumba ya Yakobo kutoka kwa watu wa lugha ngeni, 1
Habakkuk 2:11Mawe ya kuta yatapiga kelele, 2 na mihimili ya kazi ya mbao itarudisha mwangwi wake. 1
Matthew 21:15Lakini viongozi wa makuhani na walimu wa sheria walipoona mambo ya ajabu aliyofanya na kuwasikia watoto wakishangilia katika eneo la Hekalu wakisema, “Hosana Mwana wa Daudi,” walikasirika.
Matthew 27:51Wakati huo huo pazia la Hekalu likachanika vipande viwili, kuanzia juu hadi chini. Dunia ikatetemeka na miamba ikapasuka.