The Bible Software
bible.software › Mhubiri › Mhubiri 11 › Mhubiri 11:3

Mhubiri 11:3

Kama mawingu yamejaa maji, 2 hunyesha mvua juu ya nchi. 1 Kama mti ukianguka kuelekea kusini 2 au kuelekea kaskazini, 1 mahali ulipoangukia, 2 hapo ndipo utakapolala. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

If the clouds be full of rain, they empty themselves upon the earth: and if the tree fall toward the south, or toward the north, in the place where the tree falleth, there it shall be.

In Context

2Wape sehemu watu saba, naam hata wanane, 2 kwa maana hujui ni baa gani 2 litakalokuwa juu ya nchi. 1

4Yeyote atazamaye upepo hatapanda, 2 yeyote aangaliaye mawingu hatavuna. 1

Read all of Mhubiri 11

Cross References

1 Kings 18:45Wakati ule ule anga likawa jeusi kwa mawingu, upepo ukainuka na mvua kubwa ikanyesha, naye Ahabu akaenda zake Yezreeli.

Isaiah 55:10Kama vile mvua na theluji 2 ishukavyo kutoka mbinguni, 1 nayo hairudi tena huko 2 bila kunywesha dunia 1 na kuichipusha na kuistawisha, 2 hivyo hutoa mbegu kwa mpanzi 2 na mkate kwa mlaji, 1

Luke 13:7Hivyo akamwambia mtunza shamba: ‘Tazama, kwa muda wa miaka mitatu sasa nimekuwa nikija kutafuta matunda kwenye mtini huu, nami sikupata hata moja. Ukate! Kwa nini uendelee kuharibu ardhi?’

1 John 3:17Ikiwa mtu anavyo vitu vya ulimwengu huu na akamwona ndugu yake ni mhitaji lakini asimhurumie, upendo wa Mungu wakaaje ndani ya mtu huyo?

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Mhubiri 11:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Mhubiri 11:2Mhubiri 11Mhubiri 11:4 →