Mhubiri 11:2
Wape sehemu watu saba, naam hata wanane, 2 kwa maana hujui ni baa gani 2 litakalokuwa juu ya nchi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Give a portion to seven, and also to eight; for thou knowest not what evil shall be upon the earth.
In Context
1Tupa mkate wako juu ya maji, 2 kwa maana baada ya siku nyingi 2 utaupata tena. 1
Cross References
1 Samuel 25:8Waulize watumishi wako nao watakuambia. Kwa hiyo uwatendee wema vijana wangu, kwani tumekuja wakati wa furaha. Tafadhali wape watumishi wako na mwanao Daudi chochote kitakachokuja mkononi mwako kwa ajili yao.’ ”
Esther 9:19Ndiyo sababu Wayahudi wanaokaa vijijini na katika miji midogo huadhimisha siku ya kumi na nne ya mwezi wa Adari kama siku ya furaha na karamu, siku ambayo wao hupeana zawadi mmoja kwa mwingine.
Job 5:19Kutoka majanga sita atakuokoa; 2 naam, hata katika saba hakuna dhara litakalokupata wewe. 1
Proverbs 6:16Kuna vitu sita anavyovichukia Bwana, 2 naam, viko saba vilivyo chukizo kwake: 3
Micah 5:5Naye atakuwa amani yao. 1 Ukombozi Na Uharibifu 1 Wakati Mwashuru atakapovamia nchi yetu 2 na kupita katika ngome zetu, 1 tutawainua wachungaji saba dhidi yake, 2 hata viongozi wanane wa watu. 1
Matthew 18:22Yesu akamjibu, “Sikuambii hata mara saba, bali hata saba mara sabini. 1 Mfano Wa Mtumishi Asiyesamehe