Mhubiri 11:7
Nuru ni tamu, 2 tena inafurahisha macho kuona jua. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Truly the light is sweet, and a pleasant thing it is for the eyes to behold the sun:
In Context
Cross References
Job 33:30ili aigeuze nafsi yake toka shimoni, 2 ili nuru ya uzima imwangazie. 1
Psalms 84:11Kwa kuwa Bwana ni jua na ngao, 2 Bwana hutoa wema na heshima; 1 hakuna kitu chema anachowanyima 2 wale ambao hawana hatia. 1
Proverbs 29:13Mtu maskini na mtu anayeonea wanafanana kwa jambo hili: 2 Bwana hutia nuru macho yao wote wawili. 1
Ecclesiastes 7:11Hekima, kama ulivyo urithi, ni kitu chema 2 na huwafaidia wale walionalo jua. 1
Matthew 5:45ili mpate kuwa watoto wa Baba yenu aliye mbinguni. Kwa maana yeye huwaangazia jua lake watu waovu na watu wema, naye huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki.