Proverbs 29:13
Mtu maskini na mtu anayeonea wanafanana kwa jambo hili: 2 Bwana hutia nuru macho yao wote wawili. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The poor and the deceitful man meet together: the LORD lighteneth both their eyes.
In Context
12Kama mtawala akisikiliza uongo, 2 maafisa wake wote huwa waovu. 1
14Kama mfalme akiwaamua maskini kwa haki, 2 kiti chake cha enzi kitakuwa thabiti siku zote. 1
Cross References
Leviticus 25:35“ ‘Ikiwa mmoja wa wazawa wa nchi yako amekuwa maskini, naye akashindwa kujitegemeza mwenyewe katikati yako, msaidie kama vile ambavyo ungelimsaidia mgeni au kama mkazi wa muda, ili aweze kuendelea kuishi katikati yako.
Psalms 13:3Nitazame, unijibu, Ee Bwana Mungu wangu. 2 Yatie nuru macho yangu, 2 ama sivyo nitalala usingizi wa mauti. 1
Matthew 5:45ili mpate kuwa watoto wa Baba yenu aliye mbinguni. Kwa maana yeye huwaangazia jua lake watu waovu na watu wema, naye huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki.
1 Corinthians 6:10wala wezi, wala wenye tamaa mbaya, wala walevi, wala wanaodhihaki, wala wanyangʼanyi hawataurithi Ufalme wa Mungu.