Mhubiri 2:11
Hata hivyo nilipokuja kuangalia yote ambayo 2 mikono yangu ilikuwa imefanya 2 na yale niliyotaabika kukamilisha, 1 kila kitu kilikuwa ni ubatili, ni kukimbiza upepo; 2 hapakuwa na faida yoyote chini ya jua. 1 Hekima Na Upumbavu Ni Ubatili 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 1:31Mungu akaona vyote alivyoumba, na tazama, ilikuwa vizuri sana. Ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya sita.
Ecclesiastes 1:3Mwanadamu anafaidi nini kutokana na kazi yake yote 2 anayotaabikia chini ya jua? 1
Ecclesiastes 1:17Ndipo nilipojitahidi kufahamu kutofautisha hekima, wazimu na upumbavu, lakini nikatambua hata hili nalo ni kukimbiza upepo. 1
Ecclesiastes 2:19Nani ajuaye kama atakuwa ni mtu mwenye hekima au mpumbavu? Lakini hata hivyo yeye ndiye atakayetawala kazi zote ambazo nimemiminia juhudi na ustadi chini ya jua. Hili nalo ni ubatili.
Habakkuk 2:13Je, Bwana Mwenye Nguvu Zote hakuonyesha 2 kwamba kazi ya wanadamu ni mafuta tu kwa ajili ya moto, 1 na kwamba mataifa 2 yanajichosha bure? 1
1 John 2:16Kwa maana kila kitu kilichomo ulimwenguni, yaani tamaa ya mwili, tamaa ya macho na kiburi cha uzima, havitokani na Baba bali hutokana na ulimwengu.