Mhubiri 1:3
Mwanadamu anafaidi nini kutokana na kazi yake yote 2 anayotaabikia chini ya jua? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
What profit hath a man of all his labour which he taketh under the sun?
In Context
2“Ubatili mtupu! Ubatili mtupu!” 2 Mhubiri anasema. 1 “Ubatili mtupu! 2 Kila kitu ni ubatili.” 1
4Vizazi huja na vizazi hupita, 2 lakini dunia inadumu milele. 1
Cross References
Ecclesiastes 2:11Hata hivyo nilipokuja kuangalia yote ambayo 2 mikono yangu ilikuwa imefanya 2 na yale niliyotaabika kukamilisha, 1 kila kitu kilikuwa ni ubatili, ni kukimbiza upepo; 2 hapakuwa na faida yoyote chini ya jua. 1 Hekima Na Upumbavu Ni Ubatili 1
Ecclesiastes 2:22Mtu atapata nini kwa taabu yote na kuhangaika kwa bidii katika kazi anayotaabikia chini ya jua?
Ecclesiastes 4:3Lakini aliye bora kuliko hao wawili 2 ni yule ambaye hajazaliwa bado, 1 ambaye hajaona ule uovu 2 unaofanyika chini ya jua.
Ecclesiastes 5:16Hili nalo ni baya la kusikitisha: 1 Kama vile mtu ajavyo, vivyo hivyo huondoka, 2 naye anapata faida gani, 2 maadamu hutaabika kwa ajili ya upepo? 1
Ecclesiastes 6:12Kwa maana ni nani anayejua lililo jema kwa ajili ya maisha ya mwanadamu, katika siku chache na za ubatili anazopita kama kivuli? Ni nani awezaye kumwambia yatakayotokea chini ya jua baada ya yeye kuondoka?
Ecclesiastes 8:15Kwa hiyo mimi ninasifu kufurahia maisha, kwa sababu hakuna kitu bora zaidi kwa mwanadamu chini ya jua kuliko kula, kunywa na kufurahi. Kisha furaha itafuatana naye kazini mwake siku zote za maisha yake ambazo amepewa na Mungu chini ya jua.