Mhubiri 7:20
Hakuna mtu mwenye haki duniani 2 ambaye hufanya mambo ya haki 2 na kamwe asitende dhambi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For there is not a just man upon earth, that doeth good, and sinneth not.
In Context
19Hekima humfanya yeye aliye nayo kuwa na uwezo zaidi 2 kuliko watawala kumi katika mji. 1
Cross References
1 Samuel 20:34Yonathani akainuka kutoka mezani kwa hasira kali. Siku ile ya pili ya mwezi hakula chakula, kwa kuwa alikuwa amehuzunishwa na vitendo vya aibu ambavyo baba yake alikuwa anamtendea Daudi.
2 Chronicles 6:36“Watakapotenda dhambi dhidi yako, kwa kuwa hakuna mtu yeyote ambaye hatendi dhambi, nawe ukachukizwa nao na kuwakabidhi kwa adui, ambaye atawachukua utumwani katika nchi iliyo mbali au karibu
Psalms 14:1Mpumbavu anasema moyoni mwake, 2 “Hakuna Mungu.” 1 Wameharibika, matendo yao ni maovu kabisa; 2 hakuna hata mmoja atendaye mema. 1
Psalms 130:3Kama wewe, Ee Bwana, ungeweka kumbukumbu ya dhambi, 2 Ee Bwana, ni nani angeliweza kusimama? 1
Proverbs 20:9Ni nani awezaye kusema, “Nimeuweka moyo wangu safi; 2 mimi ni safi na sina dhambi?” 1
Isaiah 64:6Sisi sote tumekuwa kama mtu aliye najisi, 2 nayo matendo yetu yote ya uadilifu ni kama matambaa machafu; 1 sisi sote tunasinyaa kama jani, 2 na kama upepo maovu yetu hutupeperusha. 1