Mhubiri 7:19
Hekima humfanya yeye aliye nayo kuwa na uwezo zaidi 2 kuliko watawala kumi katika mji. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Wisdom strengtheneth the wise more than ten mighty men which are in the city.
In Context
20Hakuna mtu mwenye haki duniani 2 ambaye hufanya mambo ya haki 2 na kamwe asitende dhambi. 1
Cross References
2 Samuel 20:22Ndipo huyo mwanamke akaenda kwa watu wote akiwa na ushauri wake wa busara, nao wakakata kichwa cha Sheba mwana wa Bikri na kumtupia Yoabu. Kwa hiyo Yoabu akapiga tarumbeta, na watu wake wakatawanyika kutoka mjini, kila mmoja akirejea nyumbani kwake. Naye Yoabu akarudi kwa mfalme huko Yerusalemu.
Proverbs 21:22Mtu mwenye hekima huushambulia mji wa wenye nguvu, 2 na kuangusha ngome wanazozitegemea. 1
Ecclesiastes 9:13Pia niliona chini ya jua mfano huu wa hekima ambao ulinivutia sana:
Ecclesiastes 9:16Kwa hiyo, nikasema, “Hekima ni bora kuliko nguvu.” Lakini hekima ya maskini imedharauliwa, wala hakuna anayesikiliza maneno yake. 1
Colossians 1:9Kwa sababu hii, tangu siku ile tuliposikia habari zenu, hatujakoma kuomba kwa ajili yenu na kumsihi Mungu awajaze ninyi maarifa ya mapenzi yake katika hekima yote ya kiroho na ufahamu.