Mhubiri 7:3
Huzuni ni afadhali kuliko kicheko, 2 kwa sababu uso wenye huzuni wafaa kwa moyo. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Sorrow is better than laughter: for by the sadness of the countenance the heart is made better.
In Context
Cross References
Psalms 119:67Kabla sijapata shida nilipotea njia, 2 lakini sasa ninalitii neno lako. 1
Psalms 126:5Wapandao kwa machozi 2 watavuna kwa nyimbo za shangwe. 1
Jeremiah 31:8Tazama, nitawaleta kutoka nchi ya kaskazini 2 na kuwakusanya kutoka miisho ya dunia. 1 Miongoni mwao watakuwepo vipofu na viwete, 2 mama wajawazito na wenye utungu wa kuzaa. 2 Umati mkubwa wa watu utarudi. 1
Jeremiah 50:4“Katika siku hizo, wakati huo,” 2 asema Bwana, 1 “watu wa Israeli pamoja na watu wa Yuda 2 wataenda wakilia ili kumtafuta Bwana Mungu wao. 1
Daniel 10:2Wakati huo, mimi Danieli nikaomboleza kwa majuma matatu.
Zechariah 12:10“Nami nitamiminia nyumba ya Daudi na wakazi wa Yerusalemu roho ya neema + 12:10 Au: Roho wa neema. na maombi. Watanitazama mimi, yule waliyemchoma. Nao watamwombolezea kama mtu anayemwombolezea mwanawe wa pekee na kusikitika kwa uchungu kama anayemsikitikia mzaliwa wake wa kwanza wa kiume.