Mhubiri 8:16
Nilipotafakari akilini mwangu ili nijue hekima na kuangalia kazi ya mwanadamu duniani, jinsi ambavyo macho yake hayapati usingizi mchana wala usiku,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 127:2Mnajisumbua bure kuamka mapema 2 na kuchelewa kulala, 1 mkitaabikia chakula: 2 kwa maana yeye huwapa usingizi wapenzi wake. 1
Ecclesiastes 1:17Ndipo nilipojitahidi kufahamu kutofautisha hekima, wazimu na upumbavu, lakini nikatambua hata hili nalo ni kukimbiza upepo. 1
Ecclesiastes 4:8Kulikuwepo mwanadamu aliye peke yake, 2 hakuwa na mwana wala ndugu. 1 Hapakuwa na mwisho wa kazi yake, 2 hata hivyo macho yake 2 hayakutosheka na utajiri wake. 1 Aliuliza, “Ninajitaabisha hivi kwa ajili ya nani, 2 nami kwa nini ninajinyima kufurahia?” 1 Hili pia ni ubatili, 2 ni shughuli yenye taabu! 1
Ecclesiastes 7:25Nikageuza fikira zangu ili kuelewa, 2 kuchunguza na kuitafuta hekima 2 na kusudi la mambo, 1 na ili kuelewa ujinga wa uovu, 2 na wazimu wa upumbavu. 1
Ecclesiastes 8:9Yote haya niliyaona, nilipokuwa natafakari kila kitu kinachotendeka chini ya jua. Kuna wakati ambapo mtu hujifanya bwana juu ya wengine kwa madhara yake mwenyewe.