The Bible Software
bible.softwareMhubiriMhubiri 4 › Mhubiri 4:8

Mhubiri 4:8

Kulikuwepo mwanadamu aliye peke yake, 2 hakuwa na mwana wala ndugu. 1 Hapakuwa na mwisho wa kazi yake, 2 hata hivyo macho yake 2 hayakutosheka na utajiri wake. 1 Aliuliza, “Ninajitaabisha hivi kwa ajili ya nani, 2 nami kwa nini ninajinyima kufurahia?” 1 Hili pia ni ubatili, 2 ni shughuli yenye taabu! 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

There is one alone, and there is not a second; yea, he hath neither child nor brother: yet is there no end of all his labour; neither is his eye satisfied with riches; neither saith he, For whom do I labour, and bereave my soul of good? This is also vanity, yea, it is a sore travail.

In Context

7Tena nikaona kitu kingine kilicho ubatili chini ya jua: 1

9Wawili ni afadhali kuliko mmoja, 2 kwa sababu wana malipo mazuri kwa kazi yao: 1

Read all of Mhubiri 4

Cross References

Genesis 2:18Bwana Mungu akasema, “Si vyema huyu mtu awe peke yake. Nitamfanyia msaidizi wa kumfaa.”

Psalms 39:6Hakika kila binadamu ni kama njozi 2 aendapo huku na huko: 1 hujishughulisha na mengi lakini ni ubatili; 2 anakusanya mali nyingi, 2 wala hajui ni nani atakayeifaidi. 1

Proverbs 27:20Kuzimu na Uharibifu havishibi 2 kadhalika macho ya mwanadamu. 1

Ecclesiastes 1:13Nilitumia muda wangu wote kujifunza na kuvumbua kwa hekima yote yanayofanyika chini ya mbingu. Jinsi gani Mungu ameweka mzigo mzito juu ya wanadamu!

Ecclesiastes 4:9Wawili ni afadhali kuliko mmoja, 2 kwa sababu wana malipo mazuri kwa kazi yao: 1

Ecclesiastes 5:10Yeyote apendaye fedha kamwe 2 hatosheki na fedha; 1 yeyote apendaye utajiri kamwe 2 hatosheki na kipato chake. 2 Hili nalo pia ni ubatili. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Mhubiri 4:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Mhubiri 4:7Mhubiri 4Mhubiri 4:9 →