Mhubiri 8:2
Nawaambia, Tii amri ya mfalme, kwa sababu uliapa mbele za Mungu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
I counsel thee to keep the king’s commandment, and that in regard of the oath of God.
In Context
Cross References
1 Samuel 14:26Walipoingia mwituni, wakaona asali ikitiririka, hata hivyo hakuna mtu yeyote aliyetia mkono wake kinywani, kwa sababu waliogopa kiapo.
1 Kings 2:43Kwa nini basi hukutunza kiapo chako kwa Bwana na kutii amri niliyokupa?”
Proverbs 24:21Mwanangu, mche Bwana na mfalme, 2 wala usijiunge na waasi, 1
Romans 13:1Kila mtu na atii mamlaka inayotawala, kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu, nazo mamlaka zilizopo zimewekwa na Mungu.
1 Peter 2:13Kwa ajili ya Bwana, tiini kila mamlaka iliyowekwa na wanadamu: Kwa mfalme kwani ndiye aliye na mamlaka ya juu zaidi,