The Bible Software
bible.softwareMhubiriMhubiri 8 › Mhubiri 8:3

Mhubiri 8:3

Usiharakishe kuondoka mbele ya mfalme. Usiendelee kutenda lililo baya, kwa maana mfalme atafanya lolote apendalo.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Be not hasty to go out of his sight: stand not in an evil thing; for he doeth whatsoever pleaseth him.

In Context

2Nawaambia, Tii amri ya mfalme, kwa sababu uliapa mbele za Mungu.

4Kwa kuwa neno la mfalme ndilo lenye mamlaka ya mwisho, nani awezaye kumwambia, “Je, wewe unafanya nini?” 1

Read all of Mhubiri 8

Cross References

1 Kings 2:21Akasema, “Mruhusu Abishagi, Mshunami, aolewe na ndugu yako Adoniya.”

Proverbs 16:14Ghadhabu ya mfalme ni mjumbe wa mauti, 2 bali mtu mwenye hekima ataituliza. 1

Proverbs 30:31jogoo atembeaye kwa maringo, pia beberu, 2 naye mfalme pamoja na jeshi lake lililomzunguka. 1

Isaiah 48:4Kwa kuwa nalijua jinsi ulivyokuwa mkaidi; 2 mishipa ya shingo yako ilikuwa chuma, 2 kipaji chako cha uso kilikuwa shaba. 1

Daniel 4:35Mataifa yote ya dunia 2 yanahesabiwa kuwa si kitu. 1 Hufanya kama atakavyo 2 kwa majeshi ya mbinguni, 2 na kwa mataifa ya dunia. 1 Hakuna anayeweza kuuzuia mkono wake 2 au kumwambia, “Umefanya nini wewe?”

Acts 5:8Petro akamuuliza, “Niambie, je, mliuza kiwanja kwa thamani hii?” Akajibu, “Ndiyo, tuliuza kwa thamani hiyo.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Mhubiri 8:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Mhubiri 8:2Mhubiri 8Mhubiri 8:4 →