The Bible Software
bible.softwareWaefesoWaefeso 3 › Waefeso 3:13

Waefeso 3:13

Kwa hiyo, nawaomba msikate tamaa kwa sababu ya mateso yangu kwa ajili yenu, hayo ni utukufu wenu. 1 Maombi Ya Paulo Kwa Waefeso

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Wherefore I desire that ye faint not at my tribulations for you, which is your glory.

In Context

12Ndani yake na kwa njia ya imani katika yeye twaweza kumkaribia Mungu kwa uhuru na kwa ujasiri.

14Kwa sababu hii nampigia Baba magoti,

Read all of Waefeso 3

Cross References

Deuteronomy 20:3Atasema: “Sikia, ee Israeli, leo unakwenda vitani kupigana na adui zako. Usife moyo wala usiogope, usitishwe wala usitiwe hofu mbele yao.

Zephaniah 3:16Katika siku hiyo watauambia Yerusalemu, 2 “Usiogope, ee Sayuni; 2 usiiache mikono yako ilegee. 1

2 Corinthians 1:6Kama tunataabika, ni kwa ajili ya faraja na wokovu wenu; kama tukifarijiwa, ni kwa ajili ya faraja yenu, iwaleteayo saburi ya mateso yale yale yanayotupata.

Ephesians 3:1Kwa sababu hii, mimi Paulo, mfungwa wa Kristo Yesu kwa ajili yenu ninyi watu wa Mataifa:

Philippians 2:18Vivyo hivyo, ninyi nanyi imewapasa kufurahi na kushangilia pamoja nami. 1 Paulo Amsifu Timotheo

1 Thessalonians 3:2Tukamtuma Timotheo ambaye ni ndugu yetu na mtumishi mwenzetu wa Mungu katika kuieneza Injili ya Kristo, aje kuwaimarisha na kuwatia moyo katika imani yenu,

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Waefeso 3:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Waefeso 3:12Waefeso 3Waefeso 3:14 →