Esta 3:6
Hata hivyo baada ya kujulishwa watu wa Mordekai ni akina nani, alibadili wazo la kumuua Mordekai peke yake. Badala yake Hamani alitafuta njia ya kuwaangamiza watu wote wa Mordekai, yaani, Wayahudi, walio katika ufalme wote wa Ahasuero.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
5Wakati Hamani alipoona kuwa Mordekai hampigii magoti wala kumpa heshima alighadhibika.
Cross References
Psalms 83:4Wanasema, “Njooni, tuwaangamize kama taifa, 2 ili jina la Israeli lisikumbukwe tena.” 1
Revelation 12:12Kwa hiyo, furahini ninyi mbingu 2 na wote wakaao humo! 1 Lakini ole wenu nchi na bahari, 2 kwa maana huyo ibilisi ameshuka kwenu, 1 akiwa amejaa ghadhabu, 2 kwa sababu anajua ya kuwa 2 muda wake ni mfupi!”