Esta 3:5
Wakati Hamani alipoona kuwa Mordekai hampigii magoti wala kumpa heshima alighadhibika.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And when Haman saw that Mordecai bowed not, nor did him reverence, then was Haman full of wrath.
In Context
Cross References
Esther 1:12Lakini wakati watumishi walipotoa amri ya mfalme, Malkia Vashti alikataa kuja. Ndipo mfalme alighadhibika, na hasira yake ikawaka.
Esther 5:9Hamani alitoka siku hiyo kwa furaha na moyo mchangamfu. Lakini alipomwona Mordekai langoni mwa mfalme na kuona kwamba hakusimama wala hakuonyesha hofu mbele yake, alijawa na ghadhabu dhidi ya Mordekai.
Psalms 37:12Waovu hula njama dhidi ya wenye haki 2 na kuwasagia meno, 1
Proverbs 19:19Mtu mwenye kukasirika haraka ni lazima atapata adhabu yake, 2 kama utamwokoa, itakubidi kufanya hivyo tena. 1
Proverbs 27:3Jiwe ni zito na mchanga ni mzigo, 2 lakini kukasirishwa na mpumbavu ni kuzito kuliko vyote viwili. 1