Esta 7:10
Kwa hiyo wakamtundika Hamani mahali alipokuwa ameandaa kwa ajili ya Mordekai. Ndipo ghadhabu ya mfalme ikatulia.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Judges 15:7Samsoni akawaambia, “Kwa kuwa mmetenda hivyo, hakika sitatulia mpaka niwe nimelipiza kisasi juu yenu.”
Esther 8:7Mfalme Ahasuero akawajibu Malkia Esta na Mordekai Myahudi, “Kwa sababu Hamani aliwashambulia Wayahudi, nimetoa shamba la Hamani kwa Esta, naye ameangikwa kwenye mti wa kunyongea.
Esther 9:25Lakini wakati shauri hilo baya lilipoarifiwa kwa mfalme, alitoa amri iliyoandikwa kwamba mipango mibaya ambayo Hamani ameipanga dhidi ya Wayahudi inapasa imrudie juu ya kichwa chake mwenyewe, na kwamba yeye na wanawe waangikwe mahali pa kunyongea watu.
Job 20:8Kama ndoto hutoweka, wala hapatikani tena, 2 amefukuziwa mbali kama maono ya usiku. 1
Psalms 37:15Lakini panga zao zitachoma mioyo yao wenyewe, 2 na pinde zao zitavunjwa. 1
Proverbs 26:27Kama mtu akichimba shimo, atatumbukia ndani yake, 2 kama mtu akivingirisha jiwe, litamrudia. 1