Proverbs 26:27
Kama mtu akichimba shimo, atatumbukia ndani yake, 2 kama mtu akivingirisha jiwe, litamrudia. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Whoso diggeth a pit shall fall therein: and he that rolleth a stone, it will return upon him.
In Context
28Ulimi wa uongo, huwachukia wale unaowaumiza, 2 nacho kinywa cha kujipendekeza hutenda uharibifu.
Cross References
Esther 7:10Kwa hiyo wakamtundika Hamani mahali alipokuwa ameandaa kwa ajili ya Mordekai. Ndipo ghadhabu ya mfalme ikatulia.
Psalms 7:15Yeye achimbaye shimo na kulifukua 2 hutumbukia katika shimo alilochimba mwenyewe. 1
Psalms 9:15Mataifa wameanguka kwenye shimo walilolichimba, 2 miguu yao imenaswa kwenye wavu waliouficha. 1
Psalms 57:6Waliitegea miguu yangu nyavu, 2 nikainamishwa chini na dhiki. 1 Wamechimba shimo katika njia yangu, 2 lakini wametumbukia humo wao wenyewe. 1
Proverbs 28:10Yeye ambaye humwongoza mwenye haki kwenye mapito mabaya, 2 ataanguka kwenye mtego wake mwenyewe, 2 bali wasio na lawama watapokea urithi mwema. 1
Isaiah 3:8Yerusalemu inapepesuka, 2 Yuda inaanguka; 1 maneno yao na matendo yao ni kinyume na Bwana, 2 wakiudharau uwepo wake uliotukuka. 1