bible.software › Esta › Esta 7 › Esta 7:5
Esta 7:5
Mfalme Ahasuero akamuuliza Malkia Esta, “Ni nani huyu? Yuko wapi mtu huyu aliyethubutu kufanya jambo kama hili?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then the king Ahasuerus answered and said unto Esther the queen, Who is he, and where is he, that durst presume in his heart to do so?
In Context
4Kwa kuwa mimi na watu wangu tumeuzwa kwa kuangamizwa, kuchinjwa na kuharibiwa. Kama tungalikuwa tumeuzwa tu kuwa watumwa wa kiume na wa kike, ningalinyamaza kimya, kwa sababu shida kama hii isingalitosha kumsumbua mfalme.”
6Esta akasema, “Mtesi na adui ni huyu mwovu Hamani.” Hamani alifadhaika mbele ya mfalme na malkia.
Read all of Esta 7
Cross References
Job 9:24Wakati nchi inapoangukia mikononi mwa waovu, 2 yeye huwafunga macho mahakimu wake. 2 Kama si yeye, basi ni nani? 1
This Verse In Other Editions
Study Esta 7:5