Esta 7:6
Esta akasema, “Mtesi na adui ni huyu mwovu Hamani.” Hamani alifadhaika mbele ya mfalme na malkia.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Samuel 24:13Kama msemo wa kale usemavyo, ‘Kutoka kwa watenda maovu hutoka matendo maovu,’ kwa hiyo mkono wangu hautakugusa wewe.
Esther 3:10Basi mfalme alichukua pete yake ya muhuri kutoka kwenye kidole chake na kumpa Hamani mwana wa Hamedatha, Mwagagi, adui wa Wayahudi.
Job 18:5“Taa ya mwovu imezimwa, 2 nao mwali wa moto wake umezimika. 1
Psalms 73:5Hawapati shida zinazowataabisha watu wengine, 2 wala hawapati mapigo kama wanadamu wengine. 1
Psalms 139:19Laiti ungewachinja waovu, Ee Mungu! 2 Ondokeni kwangu, ninyi wamwaga damu! 1
Proverbs 24:24Yeyote amwambiaye mwenye hatia, 2 “Wewe huna hatia,” 1 Kabila zitamlaani 2 na mataifa yatamkana. 1