Esta 8:11
Waraka wa mfalme uliwaruhusu Wayahudi katika kila mji kuwa na haki ya kukusanyika na kujilinda wenyewe; kuharibu, kuua na kuangamiza jeshi lolote, taifa lolote au jimbo lile litakalowashambulia wao, wake zao, watoto wao na kuteka mali za adui zao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Esther 3:13Barua zilipelekwa na tarishi katika majimbo yote ya mfalme zikiwa na amri ya kuharibu, kuua na kuangamiza Wayahudi wote, wadogo kwa wakubwa, wanawake na watoto wadogo, siku moja, yaani siku ya kumi na tatu ya mwezi wa kumi na mbili, ndio mwezi wa Adari, na pia kuteka nyara vitu vyao.
Esther 9:5Wayahudi waliwaangusha adui zao wote kwa upanga wakiwaua na kuwaangamiza, nao walifanya kile walichotaka kwa wale waliowachukia.
Esther 9:15Wayahudi huko Shushani wakakusanyika pamoja siku ya kumi na nne ya mwezi wa Adari, nao wakawaua wanaume 300 huko Shushani, lakini hawakuchukua nyara zao.
Psalms 37:14Waovu huchomoa upanga 2 na kupinda upinde, 1 ili wawaangushe maskini na wahitaji, 2 kuwachinja wale ambao njia zao ni nyofu. 1
Psalms 137:8Ee binti Babeli, uliyehukumiwa kuangamizwa, 2 heri yeye atakayekulipiza wewe 2 kwa yale uliyotutenda sisi: 1
Isaiah 10:6Ninamtuma dhidi ya taifa lisilomjua Mungu, 2 ninamtuma dhidi ya taifa linalonikasirisha, 1 kukamata mateka na kunyakua nyara, 2 pia kuwakanyaga chini kama matope ya barabarani. 1