Isaiah 10:6
Ninamtuma dhidi ya taifa lisilomjua Mungu, 2 ninamtuma dhidi ya taifa linalonikasirisha, 1 kukamata mateka na kunyakua nyara, 2 pia kuwakanyaga chini kama matope ya barabarani. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
5“Ole kwa Ashuru, fimbo ya hasira yangu, 2 ambaye mkononi mwake ana rungu ya ghadhabu yangu! 1
Cross References
2 Kings 18:25Zaidi ya hayo, je, nimekuja kushambulia na kuangamiza mahali hapa pasipo neno kutoka kwa Bwana? Bwana mwenyewe ndiye aliniambia niishambulie nchi hii na kuiangamiza.’ ”
Isaiah 8:4Kabla mtoto hajaweza kusema ‘Baba yangu’ au ‘Mama yangu,’ utajiri wa Dameski na nyara za Samaria zitachukuliwa na mfalme wa Ashuru.”
Isaiah 9:19Kwa hasira ya Bwana Mwenye Nguvu Zote 2 nchi itachomwa kwa moto, 1 nao watu watakuwa kuni za kuchochea moto. 2 Hakuna mtu atakayemhurumia ndugu yake. 1
Isaiah 19:17Nayo nchi ya Yuda itawatia hofu Wamisri, kila mmoja atakayetajiwa Yuda ataingiwa na hofu, kwa sababu ya kile ambacho Bwana Mwenye Nguvu Zote anapanga dhidi yao.
Isaiah 29:13Bwana anasema: 1 “Watu hawa hunikaribia kwa vinywa vyao 2 na kuniheshimu kwa midomo yao, 2 lakini mioyo yao iko mbali nami. 1 Ibada yao kwangu inatokana na maagizo 2 waliyofundishwa na wanadamu. 1
Isaiah 33:14Wenye dhambi katika Sayuni wametiwa hofu, 2 kutetemeka kumewakumba wasiomcha Mungu: 1 “Ni nani miongoni mwetu awezaye kuishi na moto ulao? 2 Ni nani miongoni mwetu awezaye kuishi na moto unaowaka milele?” 1