The Bible Software
bible.softwareKutokaKutoka 1 › Kutoka 1:20

Kutoka 1:20

Kwa hiyo Mungu akawatendea mema wakunga hao. Waisraeli wakaongezeka na kuendelea kuwa wengi zaidi.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Therefore God dealt well with the midwives: and the people multiplied, and waxed very mighty.

In Context

19Wakunga wakamjibu Farao, “Wanawake wa Kiebrania ni tofauti na wanawake wa Kimisri; wao wana nguvu, nao hujifungua watoto kabla wakunga hawajafika.”

21Kwa vile hao wakunga walimcha Mungu, Mungu akawajalia kuwa na jamaa zao wenyewe.

Read all of Kutoka 1

Cross References

Exodus 1:12Lakini walivyozidi kuteswa ndivyo walivyozidi kuongezeka na kuenea katika nchi; Wamisri wakawaogopa Waisraeli,

Psalms 61:5Ee Mungu, kwa kuwa umesikia nadhiri zangu, 2 umenipa urithi wa wale wanaoliogopa jina lako. 1

Psalms 103:11Kama vile mbingu zilivyo juu ya dunia sana, 2 ndivyo wema wake ulivyo mwingi kwa wanaomcha; 1

Psalms 145:19Huwatimizia wamchao matakwa yao, 2 husikia kilio chao na kuwaokoa. 1

Proverbs 19:17Yeye amhurumiaye maskini humkopesha Bwana, 2 naye atamtuza kwa aliyotenda. 1

Isaiah 3:10Waambie wanyofu itakuwa heri kwao, 2 kwa kuwa watafurahia tunda la matendo yao. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kutoka 1:20

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kutoka 1:19Kutoka 1Kutoka 1:21 →