Isaiah 3:10
Waambie wanyofu itakuwa heri kwao, 2 kwa kuwa watafurahia tunda la matendo yao. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
11Ole kwa watu waovu! Maafa yapo juu yao! 2 Watalipwa kwa ajili ya yale mikono yao iliyotenda. 1
Cross References
Psalms 18:23Nimekuwa sina hatia mbele zake, 2 nami nimejilinda nisitende dhambi. 1
Psalms 128:2Utakula matunda ya kazi yako; 2 baraka na mafanikio vitakuwa vyako. 1
Ecclesiastes 8:12Ingawa mtu mwovu hufanya maovu mia moja na akaendelea kuishi maisha marefu, najua kwamba itakuwa bora zaidi kwa watu wanaomwogopa Mungu, wamchao Mungu.
Jeremiah 15:11Bwana akasema, 1 “Hakika nitakuokoa kwa kusudi jema, 2 hakika nitawafanya adui zako wakuombe msaada 2 nyakati za maafa na nyakati za dhiki. 1
Ezekiel 9:4akamwambia, “Pita katika mji wote wa Yerusalemu ukaweke alama juu ya vipaji vya nyuso za wale watu wanaohuzunika na kuomboleza kwa sababu ya machukizo yote yanayotendeka katika mji huu.”
Zephaniah 2:3Mtafuteni Bwana, enyi nyote wanyenyekevu wa nchi, 2 ninyi ambao hufanya lile analoamuru. 1 Tafuteni haki, tafuteni unyenyekevu; 2 labda mtahifadhiwa 2 siku ya hasira ya Bwana. 1 Dhidi Ya Ufilisti 1