Kutoka 10:18
Kisha Mose akaondoka kwa Farao akamwomba Bwana.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he went out from Pharaoh, and intreated the LORD.
In Context
Cross References
Exodus 8:8Ndipo Farao akamwita Mose na Aroni na kusema, “Mwombeni Bwana awaondoe vyura kutoka kwangu na kwa watu wangu, nami nitawaachia watu wenu waende kumtolea Bwana dhabihu.”
Exodus 8:28Farao akamwambia, “Nitawaruhusu mwende kumtolea Bwana Mungu wenu dhabihu huko jangwani, lakini hamna ruhusa kwenda mbali sana. Sasa mniombee.”
Matthew 5:44Lakini ninawaambia: Wapendeni adui zenu na waombeeni wanaowatesa ninyi,