The Bible Software
bible.softwareKutokaKutoka 10 › Kutoka 10:19

Kutoka 10:19

Naye Bwana akaugeuza upepo ukavuma kutoka magharibi, wenye nguvu nyingi, ambao uliwaondoa wale nzige na kuwapeleka kwenye Bahari ya Shamu. Hakuna nzige hata mmoja aliyebaki popote katika nchi ya Misri.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And the LORD turned a mighty strong west wind, which took away the locusts, and cast them into the Red sea; there remained not one locust in all the coasts of Egypt.

In Context

18Kisha Mose akaondoka kwa Farao akamwomba Bwana.

20Lakini Bwana akaufanya moyo wa Farao kuwa mgumu, wala hakuwaachia Waisraeli waondoke. 1 Pigo La Tisa: Giza

Read all of Kutoka 10

Cross References

Exodus 13:18Kwa hiyo Mungu akawaongoza watu kupitia njia ya kuzunguka kupitia jangwani, kuelekea Bahari ya Shamu. Waisraeli walipanda kutoka nchi ya Misri wakiwa wamejiandaa kwa vita.

Joel 2:20“Nitafukuza jeshi la kaskazini likae mbali nanyi, 2 nikilisukuma ndani ya jangwa, 1 askari wa safu za mbele wakienda 2 ndani ya bahari ya mashariki 1 na wale wa safu za nyuma 2 katika bahari ya magharibi. 1 Uvundo wake utapaa juu; 2 harufu yake itapanda juu.” 1 Hakika ametenda mambo makubwa. 2

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kutoka 10:19

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kutoka 10:18Kutoka 10Kutoka 10:20 →