Kutoka 10:26
Sisi ni lazima tuondoke na mifugo yetu pia, wala hakuna ukwato utakaoachwa nyuma. Inatupasa kutumia baadhi ya hiyo mifugo katika kumwabudu Bwana Mungu wetu, kwa kuwa mpaka tutakapofika huko hatutakuwa tumefahamu ni nini tutakachotumia katika kumwabudu Bwana.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
27Lakini Bwana akaufanya moyo wa Farao kuwa mgumu, hakuwa radhi kuwaachia waondoke.
Cross References
Exodus 8:27Ni lazima twende mwendo wa siku tatu mpaka tufike jangwani ili tumtolee Bwana Mungu wetu dhabihu, kama alivyotuagiza.”
Proverbs 3:9Mheshimu Bwana kwa mali zako na 2 kwa malimbuko ya mazao yako yote; 1
Isaiah 60:5Ndipo utatazama na kutiwa nuru, 2 moyo wako utasisimka na kujaa furaha, 1 mali zilizo baharini zitaletwa kwako, 2 utajiri wa mataifa utakujilia. 1
Zechariah 14:20Katika siku hiyo, kengele zilizofungwa kwenye farasi zitaandikwa maneno haya: Takatifu kwa Bwana, navyo vyungu vya kupikia katika nyumba ya Bwana vitakuwa kama bakuli takatifu mbele ya madhabahu.
2 Corinthians 8:5Wala hawakufanya tulivyotazamia, bali walijitoa wao wenyewe kwa Bwana kwanza na ndipo wakajitoa kwa ajili yetu, kufuatana na mapenzi ya Mungu.