Isaya 60:5
Ndipo utatazama na kutiwa nuru, 2 moyo wako utasisimka na kujaa furaha, 1 mali zilizo baharini zitaletwa kwako, 2 utajiri wa mataifa utakujilia. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 33:19Watawaita mataifa kwenye mlima, 2 na huko mtatoa dhabihu za haki; 1 watajifurahisha kwa wingi uliojaza bahari, 2 kwa hazina zilizofichwa mchangani.”
Psalms 34:5Wale wamtazamao hutiwa nuru, 2 nyuso zao hazifunikwi na aibu kamwe. 1
Psalms 98:7Bahari na ivume na kila kiliomo ndani yake, 2 dunia na wote wakaao ndani yake. 1
Isaiah 24:14Wanainua sauti zao, wanapiga kelele kwa furaha, 2 kutoka magharibi wanasifu kwa ukelele utukufu wa Bwana. 1
Isaiah 60:11Malango yako yatakuwa wazi siku zote, 2 kamwe hayatafungwa, mchana wala usiku, 1 ili watu wapate kukuletea utajiri wa mataifa: 2 wafalme wao wakiongoza maandamano ya ushindi. 1
Isaiah 66:12Kwa kuwa hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Nitamwongezea amani kama mto, 2 nao utajiri wa mataifa kama kijito kifurikacho; 1 utanyonya na kuchukuliwa mikononi mwake 2 na kubembelezwa magotini pake. 1