Exodus 10:4
Kama ukikataa kuwaachia waende, kesho nitaleta nzige katika nchi yako.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Else, if thou refuse to let my people go, behold, to morrow will I bring the locusts into thy coast:
In Context
Cross References
Exodus 4:23nami nilikuambia, “Ruhusu mwanangu aondoke, ili aweze kuniabudu mimi.” Lakini ukakataa kumruhusu kwenda, basi nitaua mwana wako mzaliwa wa kwanza.’ ”
Exodus 8:10Farao akasema, “Kesho.” Mose akamjibu, “Itakuwa kama unavyosema, ili upate kujua kwamba hakuna yeyote kama Bwana Mungu wetu.
Exodus 9:5Bwana akaweka wakati na kusema, “Kesho Bwana atalitenda hili katika nchi.”
Exodus 11:4Kwa hiyo Mose akasema, “Hili ndilo Bwana asemalo: ‘Panapo usiku wa manane Mimi nitapita katika nchi yote ya Misri.
Joel 1:4Kilichosazwa na kundi la tunutu 2 nzige wakubwa wamekula, 1 kilichosazwa na nzige wakubwa 2 parare wamekula, 1 kilichosazwa na parare 2 madumadu wamekula. 1
Joel 2:25“Nitawalipa kwa ajili ya miaka ile iliyoliwa na nzige: 2 parare, madumadu na tunutu, 1 jeshi langu kubwa ambalo 2 nililituma katikati yenu. 1