Joel 2:25
“Nitawalipa kwa ajili ya miaka ile iliyoliwa na nzige: 2 parare, madumadu na tunutu, 1 jeshi langu kubwa ambalo 2 nililituma katikati yenu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
24Sakafu za kupuria zitajaa nafaka, 2 mapipa yatafurika mvinyo mpya na mafuta. 1
Cross References
Joel 2:2siku ya giza na huzuni, 2 siku ya mawingu na utusitusi. 1 Kama mapambazuko yasambaavyo 2 toka upande huu wa milima 2 hata upande mwingine 2 jeshi kubwa na lenye nguvu linakuja. 1 Jambo kama hili halijakuwepo tangu zamani 2 wala halitakuwepo tena kamwe 2 kwa vizazi vijavyo. 1