Kutoka 12:26
Watoto wenu watakapowauliza, ‘Sikukuu hii ina maana gani kwenu?’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And it shall come to pass, when your children shall say unto you, What mean ye by this service?
In Context
25Mtakapoingia katika nchi Bwana atakayowapa kama alivyoahidi, shikeni desturi hii.
Cross References
Exodus 13:8Siku ile utamwambia mwanao, ‘Nafanya hivi kwa sababu ya jambo ambalo Bwana alinitendea nilipotoka katika nchi ya Misri.’
Exodus 13:22Ile nguzo ya wingu wakati wa mchana au ile nguzo ya moto wakati wa usiku haikuondoka mahali pake mbele ya watu.
Deuteronomy 6:20Siku zijazo, mtoto wako atakapokuuliza, “Ni nini maana ya masharti haya, amri na sheria hizi ambazo Bwana Mungu wako alikuagiza wewe?”
Deuteronomy 32:7Kumbuka siku za kale; 2 tafakari vizazi vya zamani vilivyopita. 1 Uliza baba yako, naye atakuambia, 2 wazee wako, nao watakueleza. 1
Joshua 4:21Akawaambia Waisraeli, “Wazao wenu watakapowauliza baba zao siku zijazo wakisema, ‘Mawe haya maana yake ni nini?’
Psalms 145:4Kizazi kimoja kitasifia kazi zako kwa kizazi kingine, 2 watasimulia matendo yako makuu. 1