Joshua 4:21
Akawaambia Waisraeli, “Wazao wenu watakapowauliza baba zao siku zijazo wakisema, ‘Mawe haya maana yake ni nini?’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
22Basi waambieni, ‘Israeli ilivukia mahali pakavu katika Mto Yordani.’
Cross References
Joshua 4:6kuwa kama ishara katikati yenu. Siku zijazo, wakati watoto wenu watakapowauliza, ‘Ni nini maana ya mawe haya?’
Psalms 145:4Kizazi kimoja kitasifia kazi zako kwa kizazi kingine, 2 watasimulia matendo yako makuu. 1