The Bible Software
bible.software › Kutoka › Kutoka 12 › Kutoka 12:50

Kutoka 12:50

Waisraeli wote walifanya kama vile Bwana alivyomwagiza Mose na Aroni.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Thus did all the children of Israel; as the LORD commanded Moses and Aaron, so did they.

In Context

49Sheria iyo hiyo itamuhusu mzawa na mgeni anayeishi miongoni mwenu.”

51Siku ile ile Bwana akawatoa Waisraeli katika nchi ya Misri kwa vikosi vyao.

Read all of Kutoka 12

Cross References

Exodus 7:4hatawasikiliza. Kisha nitaupeleka mkono wangu juu ya Misri, na kwa matendo makuu ya hukumu nitavitoa vikundi vyangu, watu wangu Waisraeli.

Numbers 3:51Mose akampa Aroni na wanawe ile fedha ya ukombozi, kama alivyoamriwa na neno la Bwana.

Numbers 8:19Kati ya Waisraeli wote, nimempa Aroni na wanawe Walawi kama zawadi ili wafanye kazi katika Hema la Kukutania kwa niaba ya Waisraeli, na kufanya upatanisho kwa ajili yao ili pasiwepo na pigo lolote litakalowapata Waisraeli wakati watakapokaribia mahali patakatifu.”

Numbers 8:22Baada ya hayo, Walawi walikuja kufanya kazi yao katika Hema la Kukutania chini ya usimamizi wa Aroni na wanawe. Waliwafanyia Walawi kama vile Bwana alivyomwamuru Mose.

Numbers 36:10Kwa hiyo binti za Selofehadi wakafanya kama Bwana alivyomwamuru Mose.

Deuteronomy 12:32Angalieni kwamba mnafanya yote niliyowaamuru; msiongeze kitu wala msipunguze kitu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kutoka 12:50

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kutoka 12:49Kutoka 12Kutoka 12:51 →