Kutoka 12:6
Tunzeni wanyama hao mpaka siku ya kumi na nne ya mwezi, ambapo lazima watu wa jumuiya yote ya Israeli wachinje wanyama hao wakati wa jioni.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 12:18Katika mwezi wa kwanza mtakula mikate isiyotiwa chachu, kuanzia jioni ya siku ya kumi na nne hadi jioni ya siku ya ishirini na moja.
Exodus 29:39Utamtoa mmoja asubuhi na huyo mwingine jioni.
Leviticus 23:5Pasaka ya Bwana huanza jioni ya siku ya kumi na nne ya mwezi wa kwanza.
Numbers 9:11Wataiadhimisha wakati wa kuzama jua siku ya kumi na nne ya mwezi wa pili. Watamla mwana-kondoo, pamoja na mkate usiotiwa chachu, na mboga chungu.
Numbers 28:18Katika siku ya kwanza mtakuwa na kusanyiko takatifu, msifanye kazi za kawaida.
Deuteronomy 16:6isipokuwa mahali atakapopachagua kama makao kwa ajili ya Jina lake. Hapo ndipo lazima mtoe dhabihu ya Pasaka jioni, jua litakapotua, iwe kumbukumbu yenu ya kutoka Misri.