Kutoka 14:22
nao Waisraeli wakapita baharini mahali pakavu, maji yakiwa ukuta upande wao wa kuume na upande wao wa kushoto.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 15:8Kwa pumzi ya pua zako 2 maji yalijilundika. 1 Mawimbi ya maji yakasimama imara kama ukuta, 2 vilindi vikagandamana ndani ya moyo wa bahari. 1
Numbers 33:8Wakaondoka Pi-Hahirothi wakapita katikati ya bahari mpaka jangwani, na baada ya kusafiri kwa siku tatu katika Jangwa la Ethamu, walipiga kambi huko Mara. 1
Joshua 3:17Wale makuhani waliobeba Sanduku la Agano la Bwana, wakasimama imara mahali pakavu katikati ya Mto Yordani, wakati Waisraeli wote wakiwa wanapita hadi taifa lote likaisha kuvuka mahali pakavu.
2 Kings 2:14Ndipo akalichukua lile vazi ambalo lilikuwa limeanguka kutoka kwa Eliya, naye akayapiga yale maji nalo. Akauliza, “Yuko wapi sasa Bwana, Mungu wa Eliya?” Elisha alipoyapiga maji, yakagawanyika kulia na kushoto, naye akavuka.
Psalms 66:6Alifanya bahari kuwa nchi kavu, 2 wakapita kati ya maji kwa miguu, 2 njooni, tumshangilie. 1
Psalms 106:9Alikemea Bahari ya Shamu, nayo ikakauka, 2 akawaongoza katika vilindi vyake kama vile jangwani. 1