Kutoka 15:8
Kwa pumzi ya pua zako 2 maji yalijilundika. 1 Mawimbi ya maji yakasimama imara kama ukuta, 2 vilindi vikagandamana ndani ya moyo wa bahari. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 14:22nao Waisraeli wakapita baharini mahali pakavu, maji yakiwa ukuta upande wao wa kuume na upande wao wa kushoto.
Joshua 3:13Mara tu nyayo za makuhani walichukualo Sanduku la Bwana, Bwana wa dunia yote, zitakapokanyaga ndani ya Mto Yordani, maji hayo yatiririkayo kutoka juu yatatindika na kusimama kama chuguu.”
2 Samuel 22:16Mabonde ya bahari yalifunuliwa, 2 na misingi ya dunia ikawa wazi 1 kwa kukaripia kwake Bwana, 2 kwa uvumi wa pumzi kutoka puani mwake. 1
Psalms 78:13Aliigawanya bahari akawapitisha, 2 alifanya maji yasimame imara kama ukuta. 1
Isaiah 37:7Sikiliza! Nitatia roho fulani ndani yake ili kwamba atakaposikia taarifa fulani, atarudi nchi yake mwenyewe, nami huko nitafanya auawe kwa upanga.’ ”
2 Thessalonians 2:8Hapo ndipo yule mwasi atafunuliwa, ambaye Bwana Yesu atamteketeza kwa pumzi ya kinywa chake na kumwangamiza kabisa kwa utukufu wa kuja kwake.