Kutoka 14:5
Mfalme wa Misri alipoambiwa kuwa Waisraeli wamekimbia, Farao na maafisa wake wakabadili nia zao kuhusu Waisraeli, wakasema, “Tumefanya nini? Tumewaachia Waisraeli waende zao na tumeukosa utumishi wao!”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
6Kwa hiyo akaandaliwa gari lake la vita, naye akaenda pamoja na jeshi lake.
Cross References
Genesis 31:22Siku ya tatu Labani akaambiwa kwamba Yakobo amekimbia.
Psalms 105:25ndiye aliigeuza mioyo yao iwachukie watu wake, 2 wakatenda hila dhidi ya watumishi wake. 1
Luke 11:24“Pepo mchafu amtokapo mtu, hutangatanga katika sehemu zisizo na maji akitafuta mahali pa kupumzika, lakini hapati. Ndipo husema, ‘Nitarudi kwenye nyumba yangu nilikotoka.’