bible.software › Kutoka › Kutoka 14 › Kutoka 14:6
Kutoka 14:6
Kwa hiyo akaandaliwa gari lake la vita, naye akaenda pamoja na jeshi lake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he made ready his chariot, and took his people with him:
In Context
5Mfalme wa Misri alipoambiwa kuwa Waisraeli wamekimbia, Farao na maafisa wake wakabadili nia zao kuhusu Waisraeli, wakasema, “Tumefanya nini? Tumewaachia Waisraeli waende zao na tumeukosa utumishi wao!”
7Akachukua magari bora mia sita, pamoja na magari mengine yote ya Misri, pamoja na maafisa wa magari hayo yote.
Read all of Kutoka 14
Cross References
Exodus 15:4Magari ya vita ya Farao na jeshi lake 2 amewatosa baharini. 1 Maafisa wa Farao walio bora sana 2 wamezamishwa katika Bahari ya Shamu. 1
This Verse In Other Editions
Study Kutoka 14:6