Exodus 14:7
Akachukua magari bora mia sita, pamoja na magari mengine yote ya Misri, pamoja na maafisa wa magari hayo yote.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
6Kwa hiyo akaandaliwa gari lake la vita, naye akaenda pamoja na jeshi lake.
Cross References
Exodus 14:23Wamisri wakawafuatia ndani ya bahari, pamoja na farasi wote wa Farao, magari ya vita na wapanda farasi.
Joshua 17:16Watu wa Yosefu wakajibu, “Hiyo nchi ya vilima haitutoshi, nao Wakanaani wote wanaoishi katika tambarare wanayo magari ya vita ya chuma, wote wa Beth-Shani na miji yake, na wale walio katika Bonde la Yezreeli.”
Judges 4:15Bwana akamfadhaisha Sisera na magari yake yote, pamoja na jeshi lake lote kwa upanga mbele ya Baraka, naye Sisera akaliacha gari lake na kukimbia kwa miguu.
Psalms 68:17Magari ya Mungu ni makumi ya maelfu, 2 na maelfu ya maelfu; 1 Bwana amekuja kutoka Sinai 2 hadi katika patakatifu pake. 1