Kutoka 15:1
Ndipo Mose na Waisraeli wakamwimbia Bwana wimbo huu: 1 “Nitamwimbia Bwana, 2 kwa kuwa ametukuzwa sana. 1 Farasi na mpanda farasi 2 amewatosa baharini. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 14:17Nitaifanya mioyo ya Wamisri kuwa migumu kusudi waingie baharini wakiwafuatia. Nami nitajipatia utukufu kupitia Farao pamoja na jeshi lake lote, kupitia magari yake ya vita na wapanda farasi wake.
Exodus 14:27Mose akanyoosha mkono wake juu ya bahari, wakati wa mapambazuko bahari ikarudiana na kuwa kama kawaida. Wamisri wakajaribu kuyakimbia maji, lakini Bwana akawasukumia ndani ya bahari.
Exodus 18:11Sasa najua ya kuwa Bwana ni mkuu kuliko miungu mingine yote, kwa kuwa amewatendea hivi wale waliowatenda Israeli kwa ujeuri.”
Judges 5:1Ndipo Debora na Baraka mwana wa Abinoamu wakaimba wimbo huu: 1
Psalms 76:7Wewe peke yako ndiye wa kuogopwa. 2 Ni nani awezaye kusimama mbele yako unapokasirika? 1
Psalms 106:12Ndipo walipoamini ahadi zake, 2 nao wakaimba sifa zake. 1