Waamuzi 5:1
Ndipo Debora na Baraka mwana wa Abinoamu wakaimba wimbo huu: 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then sang Deborah and Barak the son of Abinoam on that day, saying,
In Context
Cross References
Exodus 15:1Ndipo Mose na Waisraeli wakamwimbia Bwana wimbo huu: 1 “Nitamwimbia Bwana, 2 kwa kuwa ametukuzwa sana. 1 Farasi na mpanda farasi 2 amewatosa baharini. 1
Numbers 21:17Kisha Israeli akaimba wimbo huu: 1 “Bubujika, ee kisima! 2 Imba kuhusu maji, 1
1 Samuel 2:1Kisha Hana akaomba na kusema: 1 “Moyo wangu wamshangilia Bwana, 2 katika Bwana pembe yangu imeinuliwa juu. 1 Kinywa changu chajisifu juu ya adui zangu, 2 kwa kuwa naufurahia wokovu wako. 1
2 Chronicles 20:21Alipomaliza kushauriana na watu, Yehoshafati akawaweka watu wa kumwimbia Bwana na kumsifu katika utukufu wa utakatifu wake walipokuwa wametangulia mbele ya jeshi, wakisema: 1 “Mshukuruni Bwana 2 kwa kuwa upendo wake wadumu milele.”
Job 38:7wakati nyota za asubuhi zilipoimba pamoja, 2 na malaika wote walipokuwa wakipiga kelele kwa furaha? 1
Isaiah 12:1Katika siku ile utasema: 1 “Nitakusifu wewe, Ee Bwana. 2 Ingawa ulinikasirikia, 1 hasira yako imegeukia mbali 2 nawe umenifariji. 1