Isaiah 5:1
Nitaimba wimbo kwa ajili ya mmoja nimpendaye, 2 kuhusu shamba lake la mizabibu: 1 Mpendwa wangu alikuwa na shamba la mizabibu 2 kwenye kilima chenye rutuba. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 8:7Kwa kuwa Bwana Mungu wenu anawaleta katika nchi nzuri, nchi yenye vijito na mabwawa ya maji, yenye chemchemi zinazotiririka mabondeni na katika vilima;
Deuteronomy 31:19“Sasa ujiandikie wimbo huu, + 31:19 Wimbo huu hapa ina maana wimbo wa Mose. uwafundishe Waisraeli na uwaamuru wauimbe, ili upate kuwa ushahidi wangu dhidi yao.
Psalms 45:1Moyo wangu umesisimuliwa na jambo jema 2 ninapomsimulia mfalme mabeti yangu; 2 ulimi wangu ni kalamu ya mwandishi stadi. 1
Psalms 101:1Nitaimba juu ya upendo wako na haki yako; 2 kwako wewe, Ee Bwana, nitaimba sifa. 1
Song of Solomon 5:2Nililala lakini moyo wangu ulikuwa macho. 1 Sikiliza! Mpenzi wangu anabisha: 2 “Nifungulie, dada yangu, mpenzi wangu, 2 hua wangu, asiye na hitilafu. 1 Kichwa changu kimeloa umande, 2 na nywele zangu manyunyu ya usiku.” 1
Song of Solomon 6:3Mimi ni wake mpenzi wangu, 2 na mpenzi wangu ni wangu; 2 yeye hujilisha katikati ya yungiyungi. 1 Shairi La Tano Mpenzi 1