Kutoka 15:27
Kisha wakafika Elimu, mahali palipokuwa na chemchemi kumi na mbili, na miti sabini ya mitende, wakapiga kambi huko karibu na maji.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 33:9Wakaondoka Mara wakaenda Elimu, mahali ambapo palikuwa na chemchemi kumi na mbili na mitende sabini, huko wakapiga kambi. 1
Isaiah 12:3Kwa furaha mtachota maji 2 kutoka visima vya wokovu.
Revelation 7:17Kwa maana Mwana-Kondoo 2 aliyeko katikati ya kile kiti cha enzi 2 atakuwa Mchungaji wao; 1 naye atawaongoza kwenda 2 kwenye chemchemi za maji yaliyo hai. 1 Naye Mungu atafuta kila chozi 2 kutoka macho yao.”