bible.software › Numbers › Numbers 33 › Numbers 33:9
Numbers 33:9
Wakaondoka Mara wakaenda Elimu, mahali ambapo palikuwa na chemchemi kumi na mbili na mitende sabini, huko wakapiga kambi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they removed from Marah, and came unto Elim: and in Elim were twelve fountains of water, and threescore and ten palm trees; and they pitched there.
In Context
8Wakaondoka Pi-Hahirothi wakapita katikati ya bahari mpaka jangwani, na baada ya kusafiri kwa siku tatu katika Jangwa la Ethamu, walipiga kambi huko Mara. 1
10Wakaondoka Elimu na kupiga kambi kando ya Bahari ya Shamu. 1
Read all of Numbers 33
Cross References
Exodus 15:27Kisha wakafika Elimu, mahali palipokuwa na chemchemi kumi na mbili, na miti sabini ya mitende, wakapiga kambi huko karibu na maji.
This Verse In Other Editions
Study Numbers 33:9