Kutoka 15:6
“Mkono wako wa kuume, Ee Bwana 2 ulitukuka kwa uweza. 1 Mkono wako wa kuume, Ee Bwana, 2 ukamponda adui. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
5Maji yenye kina yamewafunika, 2 wamezama mpaka vilindini kama jiwe. 1
Cross References
Exodus 15:11“Ni nani miongoni mwa miungu aliye kama wewe, Ee Bwana? 2 Ni nani kama Wewe: 3 uliyetukuka katika utakatifu, 3 utishaye katika utukufu, 3 ukitenda maajabu? 1
Psalms 2:9Utawatawala kwa fimbo ya chuma 2 na kuwavunjavunja kama chombo cha mfinyanzi.” 1
Psalms 44:3Sio kwa upanga wao waliipata nchi, 2 wala si mkono wao uliwapatia ushindi; 1 ilikuwa ni kitanga cha mkono wako wa kuume, 2 na nuru ya uso wako, 2 kwa kuwa uliwapenda. 1
Psalms 60:5Tuokoe na utusaidie kwa mkono wako wa kuume, 2 ili wale uwapendao wapate kuokolewa. 1
Psalms 77:10Ndipo nikawaza, “Huu ndio udhaifu wangu: 2 lakini nitakumbuka 1 miaka ya mkono wa kuume 2 wa Aliye Juu Sana.” 1
Psalms 89:14Haki na hukumu ndio msingi wa kiti chako cha enzi; 2 upendo na uaminifu vinakutangulia. 1